sw_jer_text_reg/13/15.txt

6 lines
1006 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 15 Sikilizeni na makini. Msiwe na kiburi, kwa kuwa Bwana amesema. \v 16 Mtukuze Bwana, Mungu wako, kabla ya hajaleta giza, na kabla ya kuifanya miguu yako kuwa na mashaka juu ya milima wakati wa jioni. Kwa maana unatarajia mwanga, lakini ataugeuza kuwa mahali pa giza, na kuwa giza nene. \v 17 Kwa hiyo ikiwa husikilizi, nitaomboleza peke yangu kwa sababu ya kiburi chako. Hakika macho yangu yatalia na kutoa machozi, kwa sababu kundi la Bwana limechukuliwa mateka.
=======
\v 15 Sikilizeni kwa makini. Msiwe na kiburi, kwa kuwa Bwana amenena. \v 16 Mtukuze Bwana, Mungu wako, kabla hajaleta giza, na kabla ya kuifanya miguu yako kuwa na mashaka juu ya milima wakati wa jioni. Kwa maana unatarajia mwanga, lakini ataugeuza kuwa mahali pa giza, na kuwa giza nene. \v 17 Kwa hiyo ikiwa husikilizi, nitaomboleza peke yangu kwa sababu ya kiburi chako. Hakika macho yangu yatalia na kutoa machozi, kwa sababu kundi la Bwana limechukuliwa mateka.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113