sw_jer_text_reg/13/05.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 5 Basi nikaenda na kuificha katika Frati kama vile Bwana alivyoniamuru. \v 6 Baada ya siku nyingi, Bwana akaniambia, "Simama, urudi Frati. Ukaichukue nguo ambayo nilikuambia ufiche." \v 7 Kwa hiyo nikarudi Frati na kuchimba na kuchukua nguo mahali pale nilipoificha. Lakini tazama! Nguo hiyo ilikuwa imeharibika; haikuwa nzuri kabisa.