sw_jer_text_reg/12/16.txt

6 lines
810 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 16 Kisha itakuwa ikiwa mataifa hayo yatajifunza kwa makini njia za watu wangu, kuapa kwa jina langu 'Kama Bwana anaishivyo!' vile vile kama walivyowafundishwa watu wangu kuapa kwa Baali, basi watajengwa katikati ya watu wangu. \v 17 Lakini kama hakuna yeyote anayesikiliza, basi nitaling'oa taifa hilo. Kwa hakika litang'olewa na kuharibiwa-hili ndilo tamko la Bwana."
=======
\v 16 Kisha itakuwa ikiwa mataifa hayo yatajifunza kwa makini njia za watu wangu, kuapa kwa jina langu 'Kama Bwana aishivyo!' vile vile kama walivyofundishwa watu wangu kuapa kwa Baali, basi watajengwa katikati ya watu wangu. \v 17 Lakini kama hakuna yeyote anayesikiliza, basi nitaling'oa taifa hilo. Kwa hakika litang'olewa na kuharibiwa-hili ndilo tamko la Bwana."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113