sw_jer_text_reg/12/07.txt

6 lines
862 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 7 Nimeiacha nyumba yangu; Nimeacha urithi wangu. Nimewatia watu wangu wapendwa mikononi mwa adui zake. \v 8 Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba katika tundu; yeye hujiweka juu yangu kwa sauti yake mwenyewe, hivyo nimemchukia. \v 9 Malipo yangu ya thamani ni fisi, na ndege wenye madoadoa karibu na kichwa chake. Nenda, ukakusanye viumbe vyote vilivyomo katika mashamba, na uwalete ili wale.
=======
\v 7 Nimeiacha nyumba yangu; Nimeacha urithi wangu. Nimewatia watu wangu wapendwa mikononi mwa adui zake. \v 8 Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba katika tundu; yeye hujiweka juu yangu kwa sauti yake mwenyewe, hivyo nimemchukia. \v 9 Malipo yangu ya thamani haijakuwa ndege wenye madoadoa karibu na kichwa chake? Nenda, ukakusanye viumbe vyote vilivyomo katika mashamba, na uwalete ili wale.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113