sw_jer_text_reg/12/05.txt

6 lines
805 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 5 Bwana akasema, "Kweli, wewe, Yeremia, umetembea na askari wa miguu na wamechoka, unawezaje kushindana dhidi ya farasi? Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama, utafanyaje katika misitu karibu na Yordani? \v 6 Kwa maana hata ndugu zako na familia ya baba yako wamekudharau na kukukemea kwa sauti kubwa. Usiwaamini, hata kama wanasema mambo mazuri kwako.
=======
\v 5 Bwana akasema, "Kweli, wewe, Yeremia, ikiwa umeshindana na na askari wa miguu na wakakushinda, unawezaje kushindana dhidi ya farasi? Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama, utafanyaje katika misitu karibu na Yordani? \v 6 Kwa maana hata ndugu zako na familia ya baba yako wamekudharau na kukukemea kwa sauti kubwa. Usiwaamini, hata kama wanasema mambo mazuri kwako.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113