sw_jer_text_reg/11/21.txt

6 lines
928 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 21 Kwa hiyo Bwana asema hivi juu ya watu wa Anathothi, wanaotafuta uhai wako, "wanasema, 'Usifanye unabii kwa jina la Bwana, usije utakufa kwa mkono wetu.' \v 22 Kwa hiyo Bwana wa majeshi asema hivi, 'Tazameni, nitawaadhibu. Vijana wao wenye nguvu watakufa kwa upanga. Wana wao na binti zao watakufa kwa njaa. \v 23 Hakuna hata mmoja atakayeachwa, kwa maana nitaleta maafa dhidi ya watu wa Anathothi, mwaka wa adhabu yao.'"
=======
\v 21 Kwa hiyo Bwana asema hivi juu ya watu wa Anathothi, wanaotafuta uhai wako, "wanasema, 'Usifanye unabii kwa jina la Bwana, usije ukafa kwa mkono wetu.' \v 22 Kwa hiyo Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, 'Tazameni, nitawaadhibu. Vijana wao wenye nguvu watakufa kwa upanga. Wana wao na binti zao watakufa kwa njaa. \v 23 Hakuna hata mmoja atakayeachwa, kwa maana nitaleta maafa dhidi ya watu wa Anathothi, mwaka wa adhabu yao.'"
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113