sw_jer_text_reg/11/09.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 9 Kisha Bwana akaniambia, "Njama imeonekana kati ya watu wa Yuda na wenyeji wa Yerusalemu. \v 10 Wameugeukia uovu wa mababu zao wa mwanzo, ambao walikataa kusikiliza neno langu, ambao badala yake walifuata miungu mingine ili kuabudu. Waisraeli na nyumba ya Yuda walivunja agano langu nililoweka na baba zao.