sw_jer_text_reg/09/07.txt

6 lines
992 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 7 Kwa hiyo BWANA wa majeshi asema hivi, "Tazama, Niko tayari kuwajaribu. Nitawajaribu nione. Jinsi gani niwezavyo kufanya kwa binti za watu wangu? \v 8 Ndimi zao ni mishale iliyochongoka; huongea vitu vya uasi. Kwa midomo yao wanatangaza amani pamoja na jirani zao, lakini katika mioyo yao wanadanganya wakati wa kusubri. \v 9 Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya - asema BWANA na kwa nini nisijilipizie kisasi kwa taifa ambalo liko kama hili?
=======
\v 7 Kwa hiyo Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Tazama, Niko tayari kuwajaribu. Nitawajaribu nione. Jinsi gani niwezavyo kufanya kwa binti za watu wangu? \v 8 Ndimi zao ni mishale iliyochongoka; huongea vitu vya uasi. Kwa midomo yao wanatangaza amani pamoja na jirani zao, lakini katika mioyo yao wanadanganya wakati wa kusubiri. \v 9 Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya - asema Bwana na kwa nini nisijilipizie kisasi kwa taifa ambalo liko kama hili?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113