sw_jer_text_reg/08/18.txt

6 lines
609 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 18 Huzuni yangu haina ukomo, na moyo wangu unaugua. \v 19 Tazama! sauti ya maumivu ya binti wa watu wangu kutoka mbali! Je, BWANA hayumo Sayuni? Je, mfalme wake hayumo ndani yake? Kwa nini sasa wananichukiza kwa vitu vya kuchongwa na sanamu za kigeni zilizo batili?
=======
\v 18 Huzuni yangu haina kikomo, na moyo wangu unaugua. \v 19 Tazama! sauti ya maumivu ya binti wa watu wangu kutoka mbali! Je, Bwana hayumo Sayuni? Je, mfalme wake hayumo ndani yake? Kwa nini sasa wananichukiza kwa vitu vya kuchongwa na sanamu za kigeni zilizo batili?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113