sw_jer_text_reg/08/11.txt

6 lines
1006 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Kwa kuwa wametibu jeraha ya binti za watu wangu kwa juu juu. Walijisemea, "Amani, Amani," na kumbe hapakuwa na amani. \v 12 Je, waliona aibu walipofanya machukizo? Hawakuaibika. Hawakuwa na utu. Kwa hiyo wataanguka wakati wa adhabu, pamoja na wale walioanguka. Watatupwa chini, asema BWANA. \v 13 Nitawaondoa kabisa - asema BWANA - hapatakuwa na zabibu kwenye mizabibu yao, wala tini katika mitini yao. kwa kuwa jani litanyauka, na kile nilichowapatia kitaisha.
=======
\v 11 Kwa kuwa wametibu jeraha ya binti za watu wangu kwa juu juu. Walijisemea, "Amani, Amani," na kumbe hapakuwa na amani. \v 12 Je, waliona aibu walipofanya machukizo? Hawakuaibika. Hawakuwa na utu. Kwa hiyo wataanguka wakati wa adhabu, pamoja na wale walioanguka. Watatupwa chini, asema Bwana. \v 13 Nitawaondoa kabisa - asema Bwana - hapatakuwa na zabibu kwenye mizabibu yao, wala tini katika mitini yao. kwa kuwa jani litanyauka, na kile nilichowapatia kitaisha.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113