sw_jer_text_reg/08/04.txt

6 lines
532 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 4 Kwa hiyo uwaambie, 'BWANA asema hivi: Je, kuna mtu anyeanguka na hasimami? Je, kuna mtu anayepotea na hawezi kujaribu kurudi? \v 5 Kwa nini hawa watu, Yerusalemu, wamegeukia uasi daima? Wanashikilia uongo na wanakataa kutubu.
=======
\v 4 Kwa hiyo uwaambie, 'Bwana asema hivi: Je, kuna mtu anyeanguka na hasimami? Je, kuna mtu anayepotea na hawezi kujaribu kurudi? \v 5 Kwa nini hawa watu, Yerusalemu, wamegeukia uasi daima? Wanashikilia uongo na wanakataa kutubu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113