sw_jer_text_reg/07/27.txt

6 lines
636 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 27 Kwa hiyo yatangaze maneno haya yote kwao, japo hawatakusikiliza. Yatangaze mambo haya kwao, lakini hawatakujibu. \v 28 Waambie kuwa hili ni taifa ambalo haliisikilizi sauti ya BWANA, Mungu wake na lisilopokea mafundisho. Ukweli uneharibiwa na kukatwa kutoka kwenye vinywa vyao.
=======
\v 27 Kwa hiyo yatangaze maneno haya yote kwao, japo hawatakusikiliza. Yatangaze mambo haya kwao, lakini hawatakujibu. \v 28 Waambie kuwa hili ni taifa ambalo halisikilizi sauti ya Bwana Mungu wake na lisilopokea mafundisho. Ukweli uneharibiwa na kukatwa kutoka kwenye vinywa vyao.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113