sw_jer_text_reg/07/05.txt

6 lines
884 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 5 Bali kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema, kama mtatoa hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake \v 6 -kama hamtanyonya anayekaa katika nchi, yatima, mjane, na kama hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa, na kama hataenda kwa miungu mingine kwa ajili ya maumivu yenu \v 7 -ndipo nitakapowaacha mkae mahali hapa, katika nchi ambayo niliwapia mababu zenu toka zamani na hata milele.
=======
\v 5 Bali kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema; kama mtatoa hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake \v 6 kama hamtakandamiza anayekaa katika nchi, yatima, mjane, na kama hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa, na kama hamtaenda kwa miungu mingine kwa ajili ya maumivu yenu \v 7 ndipo nitakapowaacha mkae mahali hapa, katika nchi ambayo niliwapia mababu zenu toka zamani na hata milele.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113