sw_jer_text_reg/03/08.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 8 Kwa hiyo nami nikaona kuwa kwa sababu amefanya uzinzi huu wote. Huyo Israeli aliyeasi! Nilimfukuza na kumpatia talaka ya ndoa. Lakini dada yake Yuda mwenye hiana hakuwa na hofu, na yeye akaenda kuafanya kama mwanamke kahaba! \v 9 Hukusikitika kuwa ameinajisi nchi, kwa hiyo wakatengeneza sanamu za mti na za jiwe. \v 10 Kisha baada ya haya yote, wala Yuda dada yake muasi hakurudi kwangu na moyo wake wote, bali alikuja na uongo! -asema BWANA wa majeshi,"
=======
\v 8 Kwa hiyo nami nikaona kuwa kwa sababu amefanya uzinzi huu wote. Huyo Israeli aliyeasi! Nilimfukuza na kumpatia talaka ya ndoa. Lakini dada yake Yuda mwenye hiana hakuwa na hofu, na yeye akaenda kufanya kama mwanamke kahaba! \v 9 Na kwa kuwa yeye aliona kuwa ukahaba ni jambo ndogo sana kwake, ameinajisi nchi, na kufanya ukahaba kwa kutengeneza sanamu za miti na za mawe. \v 10 Kisha baada ya haya yote, wala Yuda dada yake muasi hakurudi kwangu na moyo wake wote, bali alikuja na uongo! -asema BWANA wa majeshi,"
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113