\v 61 Yeremia akamwambia Seraya, "Unapokwenda Babeli, hakikisha unayasoma maneno haya yote. \v 62 Nawe utasema, 'Yahwe, wewe! - wewe mwenyewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa. Hapatakuwa na wa kukaa, kwamba ni watu au wanyama. Patakuwa nchi isiyofaa daima.'