\v 29 Katika siku hizo hakuna atakayesema tena, "Baba za watu wamekula zabibu kali, bali meno ya watoto ni butu.' \v 30 Kwa maana kila mtu atakuwa katika uovu wake mwenyewe; kila alaye zabibu kalai, meno yake yatakuwa butu.