\v 1 Hili ndilo neno lililojia Yeremia kutoka kwa Bwana, akasema, \v 2 "Sikiliza maneno ya agano hili, uwaambie kila mtu wa Yuda na wenyeji wa Yerusalemu.