\v 6 Kimbieni! okeeni maisha yenu kama kichaka cha mreteni katika nyika. \v 7 Maana kwa sababu ya tumaini lenu katika matendo na utajiri wenu, ninyi pia mtatekwa. Kisha Kemoshi atachukuliwa matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake.