\v 41 Jinsi Babeli ulivyotekwa! Hivyo fahari ya dunia yote imekamatwa. Jinsi Babeli ulivyofanyika sehemu yenye magofu kati ya mataifa. \v 42 Bahari imekuja juu ya Babeli! Amefunikwa na mawimbi yavumayo.