\v 13 Kisha Moabu atamwaibikia Kemoshi kama ambavyo nyumba ya Israeli ilivyoiabikia Betheli, tumaini lao. \v 14 Utawezaje kusema, 'Tu askari, wapiganaji wenye nguvu'?