<<<<<<< HEAD \v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja--hivi ndivyo asemavyo Yahwe-- nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, waharibuo kutoka kwangu wangemwendea--hili ni tamko la Yahwe. ======= \v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja - hivi ndivyo asemavyo Yahwe - nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, aharibuye kutoka kwangu angemwendea - hili ni tamko la Yahwe. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113