<<<<<<< HEAD \v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawie. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumekuwa tukitukanwa matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe. ======= \v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawie. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumesikia matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113