<<<<<<< HEAD \v 38 Wababeli wataunguruma kwa pamoja kama wanasimba. Watanguruma kama watoto wa simba. \v 39 wanapokuwa moto kwa hasira, nitawafanyia sherehe; nitawalewesha hata wafurahi, na kisha kulala usingizi usio na mwisho hata wasiamke--hili ni tamko la Yahwe-- \v 40 nitawapeleka chini kama wanakondoo kwa mchinjaji, kama kondoo dume pamoja na mbuzi majike. ======= \v 38 Wababeli wataunguruma kwa pamoja kama wanasimba. Watanguruma kama watoto wa simba. \v 39 Wanapopashwa moto kwa hasira, nitawafanyia sherehe; nitawalewesha hata wafurahi, na kisha kulala usingizi usio na mwisho hata wasiamke - hili ni tamko la Yahwe - \v 40 Nitawapeleka chini kama wanakondoo kwa mchinjaji, kama kondoo ndume pamoja na mbuzi majike. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113