<<<<<<< HEAD \v 3 Sikilizeni! Sauti ya kilio kikuu inakuja kutoka Horonaimu, ambako kuna maafa na maangamizi makuu. \v 4 Moabu ameangamizwa. Watoto wake wamesikika kwa sauti za vilio vyao. \v 5 Wanapanda kilima cha Luhithi wakilia, kwani njia yote kuteremkia Horonaimu, vilio vinasikika kutokana na maangamizi. ======= \v 3 Sikilizeni! Sauti ya mvumo inakuja kutoka Horonaimu. \v 4 Moabu ameangamizwa. Vilio vya watoto wake vinasikika. \v 5 Wanapanda kilima cha Luhithi wakilia, njia yote kuelekea Horonaimu, vilio vinasikika kutokana na maangamizi. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113