<<<<<<< HEAD \v 18 Kama niishivyo--hili ni tamko la mfalme, ajulikanaye kwa Jina la Yahwe wa majeshi--kuna mtu atakuja aliye kama Mlima Tabori na Mlima Karmeli kando ya bahari. \v 19 Wekeni masanduku yenu kuyachukua uhamishoni, binti mwishio Misri. Kwani Memfisi itakuwa, magofu. itakuwa ukiwa kwa moto, na hakuna atakayeishi huko. ======= \v 18 Kama niishivyo - hili ni tamko la mfalme - Yahwe Mungu wa majeshi kwa jina, kuna mtu atakuja aliye kama Mlima Tabori na Mlima Karmeli kando ya bahari. \v 19 Wekeni masanduku yenu kuyachukua uhamishoni, binti muishio Misri. Kwani Memfisi haitafaa, magofu. Hakuna atakayeishi huko. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113