<<<<<<< HEAD \v 4 Basi nimerudia kila mara kuwatuma wote watumishi wangu manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya hivi vitu machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini walikataa kuwa makini au kugeuka kwa kuacha maovu ya kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwangwa na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama ilivyo katika siku ya leo." ======= \v 4 Basi nirudie kuwatuma watumwa wangu wote manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya vitu hivi machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini hawakunisikiliza. Walikataa kuwa makini au kuyaacha maovu kwa kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwagwa na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama katika siku ya leo." >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113