<<<<<<< HEAD \v 20 Waambia haya watu wa nyumba ya Yakobo na yasikike katika Yuda. Waambie, \v 21 'Sikilizeni hili, eny watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa; zina masikio lakini haziwawezi kusikia. \v 22 Je, hamnihofu mimi - asema BWANA - au kutetemeka mbele ya uso wangu? Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari, ambao ni agizo la kudumu ambalo halibomoki - hata kama bahari ina kupwa na kujaa, bado hauwenzi kubomoka. Hata kama mawimbi yake yanaunguruma, hayawezi kuvuka. ======= \v 20 Waambia haya watu wa nyumba ya Yakobo na yasikike katika Yuda. Waambie, \v 21 'Sikilizeni hili, enyi watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa; zina masikio lakini haziwezi kusikia. \v 22 Je, hamnihofu mimi - asema Bwana - au kutetemeka mbele ya uso wangu? Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari, ambao ni agizo la kudumu ambalo halibomoki - hata kama bahari ina kupwa na kujaa, bado hauwezi kubomoka. Hata kama mawimbi yake yanaunguruma, hayawezi kuvuka. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113