\v 20 Wewe ni nyundo ya vita yao, silaha ya vita yangu. Kwako wewe nitawaponda mataifa na kuharibu falme. \v 21 Kwako wewe nitaponda farasi na wawapandao; kwako wewe nitaponda magari ya vita na madereva wake.