<<<<<<< HEAD \v 1 "Sikilizeni neno ambalo BWANA anawaambieni, enyi nyumba ya Israeli. \v 2 BWANA asema hivi, 'msijifunze njia za mataifa, na msishangazwe na ishara za mbinguni, kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya. ======= \c 10 \v 1 "Sikilizeni neno ambalo Bwana anawaambieni, enyi nyumba ya Israeli. \v 2 Bwana asema hivi, 'msijifunze njia za mataifa, na msishangazwe na ishara za mbinguni, kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113