Tue Sep 06 2022 12:30:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 12:30:59 +03:00
parent 845288b752
commit fb93d7ec00
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Bali kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema; kama mtatoa hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake \v 6 kama hamtanyonya anayekaa katika nchi, yatima, mjane, na kama hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa, na kama hamtaenda kwa miungu mingine kwa ajili ya maumivu yenu \v 7 -ndipo nitakapowaacha mkae mahali hapa, katika nchi ambayo niliwapia mababu zenu toka zamani na hata milele.
\v 5 Bali kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema; kama mtatoa hukumu ya haki kati ya mtu na jirani yake \v 6 kama hamtakandamiza anayekaa katika nchi, yatima, mjane, na kama hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia mahali hapa, na kama hamtaenda kwa miungu mingine kwa ajili ya maumivu yenu \v 7 ndipo nitakapowaacha mkae mahali hapa, katika nchi ambayo niliwapia mababu zenu toka zamani na hata milele.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Tazama! Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii. \v 9 Je, mnaiba. mnaua, manafanya uzinzi? na mnaapa kwa uongo na kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambao hamkuwajua? \v 10 Je, mnakuja na kusimama mbele yangu katika nyumba hii ambapo jina langu linatangazwa na kusema, "Tumeokoka." hivyo mnaweza kufanya machukizo yote haya? \v 11 Je, hii ndiyo nyumba inayobeba jina langu, pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu? Lakini tazama, Nimeiona - BWANA asema.'
\v 8 Tazama! Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii. \v 9 Je, mnaiba. mnaua, mnafanya uzinzi? na mnaapa kwa uongo na kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambao hamkuwajua? \v 10 Je, mnakuja na kusimama mbele yangu katika nyumba hii ambapo jina langu linatangazwa na kusema, "Tumeokoka." hivyo mnaweza kufanya machukizo yote haya? \v 11 Je, hii ndiyo nyumba inayobeba jina langu, pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu? Lakini tazama, Nimeiona - BWANA asema.'

View File

@ -109,6 +109,7 @@
"07-title",
"07-01",
"07-03",
"07-05",
"26-title",
"26-01",
"26-04",