Fri Sep 16 2022 14:46:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 14:46:36 +03:00
parent 3d10fa328b
commit f9f43f3cd4
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Sasa sikiliza neno hili la Yahwe, wewe mabaki ya Yuda. Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, 'Kama kweli mtatoka kwenda Misri, kwenda na kuishi huko, \v 16 basi upanga ambao mnauogopa utawapita huko kwenye nchi ya Misri. Njaa ambayo mnawasiwasi nayo itawafatilia huko Misri. Na mtakufa huko. \v 17 Basi itatokea kwamba wanaume wote waliondoka kwenda Misri kuishi huko watakufa kwa upanga, njaa, au pigo. Hapatakuwa na mwathirika wao, hakuna atakayetoroka maafa ambayo nitaleta juu yao.
\v 15 Sasa sikiliza neno hili la BWANA, ninyi mabaki ya Yuda. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, 'Kama kweli mtatoka kwenda Misri, kwenda na kuishi huko, \v 16 basi upanga ambao mnauogopa utawapita huko kwenye nchi ya Misri. Njaa ambayo mnawasiwasi nayo itawafatilia huko Misri. Na mtakufa huko. \v 17 Basi itatokea kwamba wanaume wote waliondoka kwenda Misri kuishi huko watakufa kwa upanga, njaa, au pigo. Hapatakuwa na mwathirika wao, hakuna atakayetoroka maafa ambayo nitaleta juu yao.

View File

@ -50,6 +50,7 @@
"42-01",
"42-04",
"42-07",
"42-11"
"42-11",
"42-13"
]
}