Mon Nov 07 2022 11:22:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 11:22:34 +03:00
parent d105315522
commit f151c34b34
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 63 Kisha mtakapokuwa mmemaliza kusoma gombo hili, funge pamoja na jiwe kubwa juu yake na ulitupe katikati ya Frati. \v 64 Sema, 'Babeli utazama kama hivi. Hautainuka kwa sababu ya mabaya ninayoyapeleka juu yake, nao wataanguka." Maneno ya Yeremia yanaishia hapa.
\v 63 Kisha mtakapokuwa mmemaliza kusoma gombo hili, funge pamoja na jiwe na ulitupe katikati ya Frati. \v 64 Sema, 'Babeli itazama namna hii. Hautainuka kwa sababu ya mabaya ninayoyapeleka juu yake, nao wataanguka." Maneno ya Yeremia yanaishia hapa.