Fri Sep 16 2022 15:38:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 15:38:37 +03:00
parent 5b2b9cc555
commit ebe83956af
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Basi neno la BWANA lilikuja kwa Yeremia huko Tahpanhesi na kusema, \v 9 "Chukua mawe makubwa mkononi mwako, na, kwenye macho ya watu wa Yuda, yafiche kwenye chokaa kwenye njia ya kuingia katika nyumba ya Farao huko Tahpanhesi. \v 10 Kisha wakasema nao, "Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, 'Ona, nimekaribia kutuma wajumbe kumchukua Nebukadreza mfalme wa Babeli kama mtumwa wangu. Nitaweka kiti cha enzi juu ya mawe haya ambayo wewe, Yeremia, umeyazika. Nebukadreza ataweka banda lake juu yao.
\v 8 Basi neno la BWANA lilikuja kwa Yeremia huko Tahpanhesi na kusema, \v 9 "Chukua mawe makubwa mkononi mwako, na, kwenye macho ya watu wa Yuda, yafiche kwenye chokaa kwenye njia ya kuingia katika nyumba ya Farao huko Tahpanhesi. \v 10 Kisha wakasema nao, "BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, 'Ona, nimekaribia kutuma wajumbe kumchukua Nebukadreza mfalme wa Babeli kama mtumwa wangu. Nitaweka kiti cha enzi juu ya mawe haya ambayo wewe, Yeremia, umeyazika. Nebukadreza ataweka banda lake juu yao.