Mon Sep 12 2022 11:23:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-12 11:23:04 +03:00
parent 151b902043
commit ea02f530d6
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Kwa hiyo Bwana asema hivi, "Kwa habari ya manabii wakihubiri kwa jina langu, ambao mimi siwakutuma; wale wanaosema kuwa hakutakuwa na upanga wala njaa katika nchi hii mabii hawa wataangamia kwa upanga na njaa. \v 16 Na watu waliopewa utabiri watafukuzwa nje ya barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga; kwa kuwa hakuna mtu wa kuwazikas-wao, na wake zao, na wana wao, wala binti zao; kwa maana nitamwaga uovu wao wenyewe juu yao.
\v 15 Kwa hiyo Bwana asema hivi, "Kwa habari ya manabii wakihubiri kwa jina langu, ambao mimi sikuwatuma; wale wanaosema kuwa hakutakuwa na upanga wala njaa katika nchi hii manabii hawa wataangamia kwa upanga na njaa. \v 16 Na watu waliopewa utabiri watafukuzwa nje ya barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga; kwa kuwa hakuna mtu wa kuwazika-wao, na wake zao, na wana wao, wala binti zao; kwa maana nitamwaga uovu wao wenyewe juu yao.