Mon Nov 07 2022 10:44:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 10:44:33 +03:00
parent ed11884fa6
commit e79369f381
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. Maana mwalibifu atamwijia kutoka kaskazini - hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanya waliouawa wa Israeli kuanguka, hivyo waliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli.
\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. KWANI WAAmharibifu atamwijia kutoka kaskazini - hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanya waliouawa wa Israeli kuanguka, hivyo waliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli.