Fri Oct 28 2022 17:41:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-28 17:41:49 +03:00
parent 52f7f83fea
commit e6ea1da8c4
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 37 Hivyo nitawavunjavunja Elamu mbele ya adui zao na mbele ya watafutao uhai wao. Maana nitaleta maangamizo dhidi yao, hasira ya gadhabu yangu--hili ni tamko la Yahwe--nami nitapeleka upanga nyuma yao hata nitakapowafuta wote. \v 38 Kisha nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu na kumwangamiza mfalme na viongozi wao kutoka huko - asema Yahwe - \v 39 na itakuwa siku zijazo kwamba nitarejesha mema ya Elamu - asema Yahwe."
\v 37 Hivyo nitawavunjavunja Elamu mbele ya adui zao na mbele ya watafutao uhai wao. Maana nitaleta maangamizo dhidi yao, hasira ya gadhabu yangu--hili ni tamko la Yahwe--nami nitapeleka upanga nyuma yao hata nitakapowafuta wote. \v 38 Kisha nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu na kumwangamiza mfalme na viongozi wake kutoka huko - asema Yahwe - \v 39 na itakuwa siku zijazo kwamba nitarejesha mema ya Elamu--asema Yahwe."

1
50/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 50

View File

@ -133,6 +133,7 @@
"49-28",
"49-30",
"49-32",
"49-34"
"49-34",
"49-37"
]
}