Tue Sep 06 2022 12:20:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 12:20:59 +03:00
parent 4855011b65
commit e66d7fbdaf
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Huu ubani kutoka sheba unaopanda una maana gani kwangu? Au huu uudi kutoka nchi ya mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki kwangu wala dhabihu zenu. \v 21 Kwa hiyo BWANA asema hivi, 'Tazama, 'Niko tayari kuweka kikwazo dhidi ya watu hawa. Watajikwaa juu yake - baba na watoto wao kwa pamoja watajikwaa. Wakazi na jirani zao pia watapotea.' \v 22 BWANA asema hivi, 'Tazama watu wanakuja toka nchi ya kaskazini. Kwa kuwa taifa kubwa limechochewa kutoka nchi ya mbali. \v 20 Huu ubani kutoka sheba unaopanda una maana gani kwangu? Au huu udi kutoka nchi ya mbali? Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki kwangu wala dhabihu zenu. \v 21 Kwa hiyo Bwana asema hivi, 'Tazama, 'Niko tayari kuweka kikwazo dhidi ya watu hawa. Watajikwaa juu yake - baba na watoto wao kwa pamoja watajikwaa. Wakazi na jirani zao pia watapotea.' \v 22 Bwana asema hivi, 'Tazama watu wanakuja toka nchi ya kaskazini. Kwa kuwa taifa kubwa limechochewa kutoka nchi ya mbali.

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 Watachukua pinde na mishale yao. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama muungurumo wa bahari, na wapanda farasi katika mfumo wa wanaume wa vita, enyi binti wa Sayuni,"' \v 24 Tumesikia habai zao. Mikono yetu inalegea kwa dhiki. Na maumivu yametukamata kama utungu wa mwanamke anayezaa. \v 23 Watachukua pinde na mishale yao. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mungurumo wa bahari, na wapanda farasi katika mfumo wa wanaume wa vita, enyi binti wa Sayuni,"' \v 24 Tumesikia habari zao. Mikono yetu inalegea kwa dhiki. Na maumivu yametukamata kama utungu wa mwanamke anayezaa.

View File

@ -102,6 +102,8 @@
"06-11", "06-11",
"06-13", "06-13",
"06-16", "06-16",
"06-20",
"06-23",
"26-title", "26-title",
"26-01", "26-01",
"26-04", "26-04",