Tue Aug 30 2022 15:52:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-30 15:52:04 +03:00
parent 6c1d1c39d9
commit e38f8471d6
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Sedekia mfalme wa Yuda alikuwa amemfunga na kusema, "Kwa nini unatabiri na kusema, 'Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kuweka mji huu katika mikono ya mfalme wa Babeli, na atauteka. \v 4 Sedekia mfalme wa Yuda hatapona kutoka kwenye mikono ya Wakalidayo, kwa maana hakika atatiwa katika mkono wa mfalme wa Babeli. Mdomo wake utazumzia kwenye mdomo wa mfalme, na macho yake yatayaona macho ya mfalme. \v 5 Atampeleka Sedekia Babeli, na atabaki huko hadi nimuadhibu—hili ni tangazo la Yahwe. Ingawa unapigana dhidi ya Wakaldayo, hautafanikiwa."
\v 3 Sedekia mfalme wa Yuda alikuwa amemfunga na kusema, "Kwa nini unatabiri na kusema, 'Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kuweka mji huu katika mikono ya mfalme wa Babeli, na atauteka. \v 4 Sedekia mfalme wa Yuda hatapona kutoka kwenye mikono ya Wakalidayo, kwa maana hakika atatiwa katika mkono wa mfalme wa Babeli. Mdomo wake utazungumza kwenye mdomo wa mfalme, na macho yake yatayaona macho ya mfalme. \v 5 Atampeleka Sedekia Babeli, na atabaki huko hadi nimuadhibu—hili ni tangazo la Yahwe. Ingawa unapigana dhidi ya Wakaldayo, hautafanikiwa."