Tue Sep 06 2022 11:48:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 11:48:15 +03:00
parent 34021f77c9
commit deca299dcb
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Waambia haya watu wa nyumba ya Yakobo na yasikike katika Yuda. Waambie, \v 21 'Sikilizeni hili, eny watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa; zina masikio lakini haziwawezi kusikia. \v 22 Je, hamnihofu mimi - asema BWANA - au kutetemeka mbele ya uso wangu? Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari, ambao ni agizo la kudumu ambalo halibomoki - hata kama bahari ina kupwa na kujaa, bado hauwenzi kubomoka. Hata kama mawimbi yake yanaunguruma, hayawezi kuvuka.
\v 20 Waambia haya watu wa nyumba ya Yakobo na yasikike katika Yuda. Waambie, \v 21 'Sikilizeni hili, enyi watu wapumbavu! Sanamu hazina matakwa; zina masikio lakini haziwezi kusikia. \v 22 Je, hamnihofu mimi - asema Bwana - au kutetemeka mbele ya uso wangu? Nimeweka mpaka wa mchanga kwenye bahari, ambao ni agizo la kudumu ambalo halibomoki - hata kama bahari ina kupwa na kujaa, bado hauwezi kubomoka. Hata kama mawimbi yake yanaunguruma, hayawezi kuvuka.