Fri Sep 16 2022 15:18:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 15:18:36 +03:00
parent 1851704960
commit db1264b7ba
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 43 \v 1 Ilitokea kwamba Yeremia alimaliza kuhubiri kwa watu wote maneno yote ya BWANA Mungu wao kwamba BWANA Mungu wao alimwambia kusema. \v 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea, na watu wa kiburi walisema kwa Yeremia, "Unasema uongo. BWANA Mungu wetu hajakutuma wewe kusema, 'Usiende Misri kuishi huko.' \v 3 Kwa kuwa Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu kututia sisi kwenye mkono wa Wakaldayo, kwa kuwa wewe umesababisha kifo chetu na kutufanya sisi mateka huko Babeli."
\c 43 \v 1 Ilitokea kwamba Yeremia alimaliza kuhubiri kwa watu wote maneno yote ya BWANA Mungu wao kwamba BWANA Mungu wao alimwambia kusema. \v 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea, na watu wa kiburi walisema kwa Yeremia, "Unasema uongo. BWANA Mungu wetu hajakutuma wewe kusema, 'Usiende Misri kuishi huko.' \v 3 Kwa kuwa Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu kututia sisi kwenye mkono wa Wakaldayo, kwa kuwa umesababisha kifo chetu na kutufanya sisi mateka huko Babeli."

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Basi Yonathani mwana wa Karea, wakuu wa jeshi, na watu wote walikataa kusikiliza sauti ya Yahwe kuishi kwenye nchi ya Yuda. \v 5 Yonathani mwana wa Karea na amri jeshi wote waliwachukua mabaki wa Yuda ambao walikuwa wamerudi kutoka mataifa yote ambapo walikuwa wametawanyika kuishi katika nchi ya Yuda. \v 6 Waliwachukua wanaume na wanawake, watoto na mabinti wa mfalme, na kila mtu ambaye Nebuzaradani, nahodha wa walinzi wa mfalme, waliruhusu kubaki pamoja na Gedali mwana wa Ahikam mwana wa Shafan. Pia walimchukua Yeremia nabii na Baruku mwana wa Neria. \v 7 Walienda nchi ya Misri, kwa Tahpanhesi, kwa sababu hawakusikiliza sauti ya Yahwe.
\v 4 Basi Yohanani mwana wa Karea, wakuu wa jeshi, na watu wote walikataa kusikiliza sauti ya Yahwe kuishi kwenye nchi ya Yuda. \v 5 Yonathani mwana wa Karea na amri jeshi wote waliwachukua mabaki wa Yuda ambao walikuwa wamerudi kutoka mataifa yote ambapo walikuwa wametawanyika kuishi katika nchi ya Yuda. \v 6 Waliwachukua wanaume na wanawake, watoto na mabinti wa mfalme, na kila mtu ambaye Nebuzaradani, nahodha wa walinzi wa mfalme, waliruhusu kubaki pamoja na Gedali mwana wa Ahikam mwana wa Shafan. Pia walimchukua Yeremia nabii na Baruku mwana wa Neria. \v 7 Walienda nchi ya Misri, kwa Tahpanhesi, kwa sababu hawakusikiliza sauti ya Yahwe.

View File

@ -55,6 +55,7 @@
"42-15",
"42-18",
"42-20",
"43-title"
"43-title",
"43-01"
]
}