Fri Oct 28 2022 15:01:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-28 15:01:48 +03:00
parent 6cbe690cc0
commit da726044a9
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Hili ni neno la Yahwe lililokuja kwa Yeremia nabi juu ya Wafilisiti. Neno hili lilimjia kabla Farao hajaishambulia Gaza. \v 2 "Yahwe asema hivi: Tazama, mafuriko ya maji yanainuka huko kaskazini. Yatakuwa kama mto uliofurika! Kisha yataigharikisha nchi na kila kitu ndani yake, miji yake na watu wakaao ndani yake! Kila mtu atapiga kelele ya kuomba msaada, na wakaaji wote wa nchi wataomboleza.
\c 47 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililokuja kwa Yeremia nabii juu ya Wafilisiti. Neno hili lilimjia kabla Farao hajaishambulia Gaza. \v 2 "Yahwe asema hivi: Tazama, mafuriko ya maji yanainuka huko kaskazini. Yatakuwa kama mto uliofurika! Kisha yataigharikisha nchi na kila kitu ndani yake, miji yake na watu wakaao ndani yake! Kila mtu atapiga kelele ya kuomba msaada, na wakaaji wote wa nchi wataomboleza.

1
47/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 47

View File

@ -88,6 +88,8 @@
"46-18",
"46-20",
"46-23",
"46-25"
"46-25",
"46-27",
"47-title"
]
}