Thu Sep 01 2022 10:41:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-01 10:41:31 +03:00
parent 5680bbc54e
commit d9556c5b99
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Niliwatuma kwenu watumishi wangu wote, manabii, nilikuwa nawatuma bila kukom ili waseme, 'Kila mtu auache uovu wake na kutenda matendo mema; asiwepo mtu wa kuifuata miungu mingine tena na kuiabudu. Bdala yake, rudini kwenye nchi niliyowapa ninyi na babu zenu,' bado hamtanisikiliza wala kutega maskio yenu kwangu. \v 16 Kwa maana uzao wa Yonadabu mwana wa Rekabu wamezishika amri za babu yao alizowapa, lakini watu hawa hupuuza kunisikiliza."
\v 15 Niliwatuma kwenu watumishi wangu wote, manabii, nilikuwa nawatuma bila kukoma ili waseme, 'Kila mtu auache uovu wake na kutenda matendo mema; asiwepo mtu wa kuifuata miungu mingine tena na kuiabudu. Bdala yake, rudini kwenye nchi niliyowapa ninyi na babu zenu,' bado hamtanisikiliza wala kutega maskio yenu kwangu. \v 16 Kwa maana uzao wa Yonadabu mwana wa Rekabu wamezishika amri za babu yao alizowapa, lakini watu hawa hupuuza kunisikiliza."

View File

@ -150,6 +150,7 @@
"35-title",
"35-01",
"35-05",
"35-08"
"35-08",
"35-12"
]
}