diff --git a/31/21.txt b/31/21.txt index 5616407..8d50b3a 100644 --- a/31/21.txt +++ b/31/21.txt @@ -1 +1 @@ -\v 21 Jiwekee alama za bara bara kwa ajili yako mwenyewe. Weka matangaazo ya maelekezo kwa ajili yako mwenyewe. Iweke akili yako juu ya njia sahihi, njia unayopaswa kufuata. Rudii, bikra Israeli! Rudi kwenye hii miji yako. \v 22 Utatanga tanga hadi lini, binti usiye mwaminifu? Kwa maana Yahwe ameumba kitu fulani kipya juu ya dunia—mwanamke anamzunguka mwanaume. \ No newline at end of file +\v 21 Jiwekee alama za bara bara kwa ajili yako mwenyewe. Weka matangazo ya maelekezo kwa ajili yako mwenyewe. Iweke akili yako juu ya njia sahihi, njia unayopaswa kufuata. Rudi, bikra Israeli! Rudi kwenye hii miji yako. \v 22 Utatanga tanga hadi lini, binti usiye mwaminifu? Kwa maana Yahwe ameumba kitu fulani kipya juu ya dunia—mwanamke anamzunguka mwanaume. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 1521611..31b3ff1 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -96,6 +96,7 @@ "31-12", "31-13", "31-15", - "31-16" + "31-16", + "31-18" ] } \ No newline at end of file