Wed Oct 12 2022 12:47:53 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-12 12:47:53 +03:00
parent 8a5176ee1a
commit d360d1bdfd
3 changed files with 6 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Juu ya Moabu, Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Ole kwa Nebo, kwani umekuwa ukiwa. Kiriathaimu umetekwa na kuaibishwa. Ngome zake zimeangushwa na kuaibishwa. \v 2 Heshima ya Moabu haipo tena. Adui zake katika Heshboni walipanga njama za kumwangamiza. Walisema, 'Njoni tumwangamize kama taifa. Madmena pia itaangamizwa - upanga utakutangulia.'
\c 48 \v 1 Juu ya Moabu, Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Ole kwa Nebo, kwani umekuwa ukiwa. Kiriathaimu umetekwa na kuaibishwa. Ngome zake zimeangushwa na kuaibishwa. \v 2 Heshima ya Moabu haipo tena. Adui zake katika Heshboni walipanga njama za kumwangamiza. Walisema, 'Njoni tumwangamize kama taifa. Madmena pia itaangamizwa - upanga utakutangulia.'

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Kimbieni! okeeni maisha yenu kama kichaka cha mreteni katika nyika. \v 7 Maana kwa sababu ya tumaini lenu katika matendo na utajiri wenu, ninyi pia mtatekwa. Kisha Kemoshi atachukuliwa matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake.
\v 6 Kimbieni! Okoeni maisha yenu kama kichaka cha mreteni katika nyika. \v 7 Maana kwa sababu ya tumaini lenu katika matendo na utajiri wenu, ninyi pia mtatekwa. Kisha Kemoshi atachukuliwa matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake.

View File

@ -545,6 +545,9 @@
"47-01",
"47-03",
"47-05",
"48-title"
"48-title",
"48-01",
"48-03",
"48-06"
]
}