Mon Nov 07 2022 16:17:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 16:17:51 +03:00
parent b5315ab158
commit ce61781807
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 44 \v 1 Hili lilikuwa neno ambalo lilikuja kwa Yeremia kuhusu Wayahudi wote walioishi katika nchi ya Misri, wale wanaoishi Migdoli, Tahpanhesi, Memphis, na katika nchi ya Patrosi. \v 2 "BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Wewe mwenyewe umeyaona maafa yote niliyoleta juu ya Yerusalemu na miji yote ya Yuda. Ona, yamekuwa ukiwa leo. Hakuna hata mmoja aishie humo. \v 3 Hii ni kwa sababu ya mambo maovu waliyofanya kunichokoza mimi kwa kwenda kuchoma ubani na kuabudu miungu mingine. Hii ilikuwa si miungu ambayo wao wenyewe, wala ninyi, au mababu zenu walijua.
\c 44 \v 1 Hili lilikuwa neno ambalo lilikuja kwa Yeremia kuhusu Wayahudi wote walioishi katika nchi ya Misri, wale wanaoishi Migdoli, Tahpanhesi, Memphis, na katika nchi ya Patrosi. \v 2 "Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Wewe mwenyewe umeyaona maafa yote niliyoleta juu ya Yerusalemu na miji yote ya Yuda. Ona, yamekuwa ukiwa leo. Hakuna hata mmoja aishie humo. \v 3 Hii ni kwa sababu ya mambo maovu waliyofanya kunichokoza mimi kwa kwenda kuchoma ubani na kuabudu miungu mingine. Hii ilikuwa si miungu ambayo wao wenyewe, wala ninyi, au mababu zenu walijua.

View File

@ -58,6 +58,7 @@
"43-title",
"43-01",
"43-04",
"43-08",
"43-11",
"44-title",
"44-01",