Thu Sep 08 2022 12:33:19 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-08 12:33:20 +03:00
parent ce447f46af
commit cd6bf9530e
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Bwana akasema, "Kweli, wewe, Yeremia, umetembea na askari wa miguu na wamechoka, unawezaje kushindana dhidi ya farasi? Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama, utafanyaje katika misitu karibu na Yordani? \v 6 Kwa maana hata ndugu zako na familia ya baba yako wamekudharau na kukukemea kwa sauti kubwa. Usiwaamini, hata kama wanasema mambo mazuri kwako.
\v 5 Bwana akasema, "Kweli, wewe, Yeremia, ikiwa umeshind na askari wa miguu na wamechoka, unawezaje kushindana dhidi ya farasi? Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama, utafanyaje katika misitu karibu na Yordani? \v 6 Kwa maana hata ndugu zako na familia ya baba yako wamekudharau na kukukemea kwa sauti kubwa. Usiwaamini, hata kama wanasema mambo mazuri kwako.