diff --git a/51/47.txt b/51/47.txt index 9bddb19..2df0bcc 100644 --- a/51/47.txt +++ b/51/47.txt @@ -1 +1 @@ -\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. Kwani waharibifu watamwijia kutoka kaskazini-- hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanya waliouawa wa Israeli kuanguka, hivyo waliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli. \ No newline at end of file +\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. Kwani waharibifu watamwijia kutoka kaskazini-- hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanyia waanga wa kifo wa Israeli kuanguka, hivyo wwaliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli. \ No newline at end of file