Tue Sep 06 2022 13:04:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 13:04:59 +03:00
parent f0e8ccaf4a
commit c5d50d1032
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Kama kichwa changu kingetoa maji, na macho yangu kuwa chemichemi ya machozi! kwa kuwa natamani kulia usiku na mchana kwa ajili yao waliokuwa binti za watu wangu ambao wameuawa. \v 2 Kama mtu anganipatia mahali pa wasafiri nyikani ili nikae, mahali ambapo ningeenda kuwatelekeza watu wangu. Kama ningewaacha, kwa kuwa wote ni wazinzi, kundi la wenye hiana! \v 3 asema BWANA, "Huupinda ulimi wao kana kwamba ni upinde ili wapate kuongea uongo, lakini si kwa uamiinifu wao kwamba wanapata nguvu duniani. Wanatoka uovu mmoja hadi mwiingine. Hawanijui mimi."
\c 9 \v 1 Kama kichwa changu kingetoa maji, na macho yangu kuwa chemichemi ya machozi! kwa kuwa natamani kulia usiku na mchana kwa ajili yao waliokuwa binti za watu wangu ambao wameuawa. \v 2 Kama mtu anganipatia mahali pa wasafiri nyikani ili nikae, mahali ambapo ningeenda kuwatelekeza watu wangu. Kama ningewaacha, kwa kuwa wote ni wazinzi, kundi la wenye hiana! \v 3 asema Bwana, "Huupinda ulimi wao kana kwamba ni upinde ili wapate kuongea uongo, lakini si kwa uamiinifu wao kwamba wanapata nguvu duniani. Wanatoka uovu mmoja hadi mwiingine. Hawanijui mimi."

1
09/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 9

View File

@ -129,6 +129,8 @@
"08-14",
"08-16",
"08-18",
"08-20",
"09-title",
"26-title",
"26-01",
"26-04",