Fri Oct 28 2022 12:33:40 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-28 12:33:41 +03:00
parent c47086a28c
commit c474b3cbdb
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii juu ya mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa helmeti vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu.
\c 46 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii jya mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa helmeti vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu.

1
46/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 46

View File

@ -75,6 +75,8 @@
"44-26",
"44-29",
"45-title",
"45-01"
"45-01",
"45-04",
"46-title"
]
}