Mon Nov 07 2022 18:55:20 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 18:55:22 +03:00
parent 880b3905e1
commit c42e271d8c
3 changed files with 3 additions and 6 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asali" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmaeli alitupia miili yote ya waliokufa ambae yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israel. Ishmaeli mwana wa Nethania alilijaza wale ambao walikuwa wameuawa.
\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asali" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmaeli alitupia miili yote ya waliokufa ambao yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israel. Ishmaeli mwana wa Nethania alilijaza wale ambao walikuwa wameuawa.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 10 Badaye Ishmaeli aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa huko Mizpa, mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu. Basi Ishmaeli mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kati ya watu wa Ammon.
=======
\v 10 Kisha Ishmaeli aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa huko Mizpa, mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu. Basi Ishmaeli mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kwa watu wa Amoni.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 10 Kisha Ishmaeli aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa huko Mizpa, mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu. Basi Ishmaeli mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kwa watu wa Amoni.

View File

@ -246,6 +246,7 @@
"41-01",
"41-04",
"41-06",
"41-08",
"42-title",
"43-title",
"44-title",